Paroles de la chanson My Gash par ABBAH
Aiyayayayaya
Iye iye aah mmmh
(Abbah)
Asa mbona na simu umepokea
Jina lile lile la jana
We si ulisema umeachana
Umeachana ni sawa
Hasa mbona nyie bado mnaongea
Mnaenedekeza mjana
We si ulisema umeachana
Umeachana ni sawa
Si jana nilikuona mchana
Sitaki kuendelea naye
Na tena nimemwambia
Baba karudi kuwa naye
-