1 Kamaliza LyricsEyoo Kenny
Tito hii hapa sauti ya
Jemedari, kanali amri jeshi mkuu Konde Boy
Now we're back where we belong
Nasema mtoto wa nyumba ile
Nyumba ile, nyumba ile (Hana haya)
Mtoto wa nyumba ile
Nyumba ile, nyumba ile (Hana haya)
Mtoto wa nyumba ile
Nyumba ile, nyumba ile (Hana haya)
Mtoto wa nyumba ile
Nyumba ile, nyumba ile
Mwenzenu pesa kidogo anajiona kamaliza
Eti kisa kasoma ulaya anajiona kamaliza
Mwenzenu Insta ana 10k anajiona kamaliza
Na nywele za kuazima anajiona kamaliza
Na make-up za kuunga unga anajiona kamaliza
Makalio ya kichina anajiona kamaliza
Kisa kibabu kinamhonga anajiona kamaliza
Limama limemweka ndani anajiona kamaliza
Eti kisa ana sumu mpya anajiona kamaliza
Yeye kutwa yupo tungi anajiona kamaliza
Tena anajisifu ukitaniana wakimbiza
Eti kisa ana danga jipya anajiona kamaliza
You might also likeNasema mtoto wa nyumba ile
Nyumba ile, nyumba ile (Hana haya)
Mtoto wa nyumba ile
Nyumba ilе, nyumba ile (Hana haya)
Mtoto wa nyumba ile
Nyumba ile, nyumba ilе (Hana haya)
Mtoto wa nyumba ile
Nyumba ile, nyumba ile
Watoto wa banda, Zuu na kunasia
Kipengo hapa Amri Kuu jeshi
Konde boy
Mama mpeeni mbeleko amlee mwanawe
Nasema mama mpeeni mbeleko amlee mwanawe
Mama mpeeni mbeleko amlee mwanawe
DJ Tito piga magoma tuwarushe masela
Mwanangu Tito piga magoma tuwarushe majita
Ah fanya kama unasusa, we unasusa
Mpaka chini unagusa, we unagusa
Fanya kama unasusa, we unasusa
Mpaka chini unagusa, we unagusa
Eti kisa ye ndo kijumbe, anajiona kamaliza
Dada yenu kachumbiwa anajiona kamaliza
Eti kisa we sungusungu unajiona kamaliza
Eti kisa baba yake kiongozi anajiona kamaliza
Siku hizi anapanda ndege anajiona kamaliza
Zikiisha mto kahamu anajiona kamaliza
(Tito yii)
Utasema hanifahamu anajiona kamaliza
Eti kisa amenizalia anajiona kamaliza
Na mwanenu amepata kazi anajiona kamaliza
Siku hizi masikani hatokei anajiona kamaliza
Na hata simu zangu hapokei anajiona kamaliza
[?]